Isaiah 43:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Babu yenu wa kwanza alitenda dhambi, wapatanishi wenu waliniasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baba yako wa kwanza alitenda dhambi, wasemaji wako wameasi dhidi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baba yako wa kwanza alifanya dhambi, na wakalimani wako wameniasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Babu yenu wa kwanza alitenda dhambi, wapatanishi wenu waliniasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baba yako wa kwanza, alitenda dhambi, wasemaji wako wameasi dhidi yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baba yako wa kwanza alitenda dhambi, wasemaji wako wameasi dhidi yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baba yako wa kwanza alifanya dhambi, na wakalimani wako wameniasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Babu yenu wa kwanza alitenda dhambi, wapatanishi wenu waliniasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baba yako wa kwanza alikosa naye, nao wasemaji wako walinitengua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baba yako wa kwanza alifanya dhambi, na wakalimani wako wameniasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Babu yenu wa kwanza alitenda zambi, wapatanishi wenu waliniasi.