Isaiah 43:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, Mungu Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wenu. Nitaitoa nchi ya Misri iwe fidia yenu, nitaitoa Kushi na Seba ili mwachwe huru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wako. Ninaitoa Misri kuwa fidia yako, Kushi na Seba badala yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mimi ni Bwana, Mungu wako; Mtakatifu wa Israeli, mwokozi wako, nimetoa Misri kuwa ukombozi wako; nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, Mungu Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wenu. Nitaitoa nchi ya Misri iwe fidia yenu, nitaitoa Kushi na Seba ili mwachwe huru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa Mimi ndimi BWANA, Mungu wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wako, ninaitoa Misri kuwa fidia yako, Kushi na Seba badala yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa Mimi ndimi bwana, Mungu wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wako. Ninaitoa Misri kuwa fidia yako, Kushi na Seba badala yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mimi ni BWANA, Mungu wako; Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wako, nimetoa Misri kuwa ukombozi wako; nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, Mungu Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wenu. Nitaitoa nchi ya Misri iwe fidia yenu, nitaitoa Kushi na Seba ili mwachwe huru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mimi Bwana Mungu wako, Mtakatifu wa Isiraeli, mimi mwokozi wako, nimetoa Misri kuwa makombozi yako, nikatoa Nubi na Seba mahali pako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mimi ni BWANA, Mungu wako; Mtakatifu wa Israeli, mwokozi wako, nimetoa Misri kuwa ukombozi wako; nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana mimi ni Yawe, Mungu wenu, Mungu Mutakatifu wa Israeli, Mwokozi wenu. Ninaitoa inchi ya Misri kwa ajili ya ukombozi wenu, ninaitoa Kushi na Seba kusudi muachwe huru.