Isaiah 43:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msiogope maana mimi nipo pamoja nanyi. “Nitawarudisha wazawa wenu toka mashariki, nitawakusanyeni kutoka magharibi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiogope, kwa kuwa mimi nipo pamoja nawe, nitawaleta watoto wako kutoka mashariki, na kukukusanya kutoka magharibi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiogope; maana mimi ni pamoja nawe; nitaleta wazao wako toka mashariki, nitakukusanya toka magharibi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msiogope maana mimi nipo pamoja nanyi. “Nitawarudisha wazawa wenu toka mashariki, nitawakusanyeni kutoka magharibi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiogope, kwa kuwa mimi nipo pamoja nawe, nitawaleta watoto wako kutoka mashariki na kukukusanya kutoka magharibi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiogope, kwa kuwa mimi nipo pamoja nawe, nitawaleta watoto wako kutoka mashariki, na kukukusanya kutoka magharibi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiogope; maana mimi ni pamoja nawe; nitaleta wazao wako toka mashariki, nitakukusanya toka magharibi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msiogope maana mimi nipo pamoja nanyi. “Nitawarudisha wazawa wenu toka mashariki, nitawakusanyeni kutoka magharibi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiogope! Kwani mimi niko pamoja na wewe; walio uzao wako nitawaleta na kuwatoa maawioni kwa jua, nitawakusanya na kuwatoa nako machweoni kwa jua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiogope; maana mimi ni pamoja nawe; nitaleta wazao wako toka mashariki, nitakukusanya toka magharibi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musiogope maana mimi nipo pamoja nanyi. Nitawarudisha wazao wenu toka mashariki, nitawakusanya ninyi kutoka magaribi.