Isaiah 43:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waleteni mbele watu hao, ambao wana macho lakini hawaoni wana masikio lakini hawasikii!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uwaongoze wale wenye macho lakini hawaoni, wenye masikio lakini hawasikii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walete vipofu walio na macho, na viziwi walio na masikio.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waleteni mbele watu hao, ambao wana macho lakini hawaoni wana masikio lakini hawasikii!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uwaongoze wale wenye macho lakini hawaoni, wenye masikio lakini hawasikii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uwaongoze wale wenye macho lakini hawaoni, wenye masikio lakini hawasikii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walete watu wasioona, japo wana macho, wasiosikia japo wana masikio.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waleteni mbele watu hao, ambao wana macho lakini hawaoni wana masikio lakini hawasikii!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watokezeni watu walio vipofu! Tena macho wanayo. Nao walio viziwi! Tena masikio wanayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walete vipofu walio na macho, na viziwi walio na masikio.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muwalete mbele watu hao, ambao wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii!