Isaiah 44:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakika wote wanaomheshimu wataaibishwa, tena hao mafundi wa sanamu ni binadamu tu. Basi, wakutane wote, wajitokeze, nao watatishika na kuaibishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye pamoja na wenziwe wa aina yake wataaibishwa, mafundi wao si kitu ila ni wanadamu tu. Wote wakusanyike pamoja na kuwa na msimamo wao, watashushwa chini kwa hofu na kwa fedheha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, wenziwe wote watatahayari; na mafundi, hao ni wanadamu; na wakusanyike pamoja, wakasimame; wataogopa na kutahayari pamoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakika wote wanaomheshimu wataaibishwa, tena hao mafundi wa sanamu ni binadamu tu. Basi, wakutane wote, wajitokeze, nao watatishika na kuaibishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye pamoja na wenziwe wa aina yake wataaibishwa, mafundi wao si kitu ila ni wanadamu tu. Wote na wakusanyike pamoja na kuwa na msimamo wao, watashushwa chini kwa hofu na kwa fedheha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye pamoja na wenziwe wa aina yake wataaibishwa, mafundi wao si kitu ila ni wanadamu tu. Wote wakusanyike pamoja na kuwa na msimamo wao, watashushwa chini kwa hofu na kwa fedheha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, wenziwe wote watatahayari; na mafundi, hao ni wanadamu; na wakusanyike pamoja, wakasimame; wataogopa na kutahayari pamoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakika wote wanaomheshimu wataaibishwa, tena hao mafundi wa sanamu ni binadamu tu. Basi, wakutane wote, wajitokeze, nao watatishika na kuaibishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni! Wote walio upande wao hupatwa na soni, nao mafundi na watu tu. Na wakusanyike wote pamoja na kusimama hapa, wote pamoja watastuka na kupatwa na soni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, wenziwe wote watatahayari; na mafundi, hao ni wanadamu; na wakusanyike pamoja, wakasimame; wataogopa na kutahayari pamoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika wote wanaoshirikiana na sanamu watapata haya, tena hao wafundi wa sanamu ni wanadamu tu. Basi, wakutane wote, wajitokeze, nao wataogopa na kufezeheka.