Isaiah 44:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu hao hawajui wala hawaelewi kitu chochote. Wamefumbwa macho wasiweze kuona; kadhalika na akili zao wasiweze kufahamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawajui chochote, hawaelewi chochote, macho yao yamefungwa hata hawawezi kuona, akili zao zimefungwa hata hawawezi kufahamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawajui wala hawafikiri; maana amewafumba macho, wasione, na mioyo yao, wasiweze kufahamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu hao hawajui wala hawaelewi kitu chochote. Wamefumbwa macho wasiweze kuona; kadhalika na akili zao wasiweze kufahamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawajui cho chote, hawaelewi cho chote, macho yao yamefungwa hivyo hawawezi kuona, akili zao zimefungwa hivyo hawawezi kufahamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawajui chochote, hawaelewi chochote, macho yao yamefungwa hata hawawezi kuona, akili zao zimefungwa hata hawawezi kufahamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawajui wala hawafikiri; maana amewafumba macho, wasione, na mioyo yao, wasiweze kufahamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu hao hawajui wala hawaelewi kitu chochote. Wamefumbwa macho wasiweze kuona; kadhalika na akili zao wasiweze kufahamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hawa hawavijui wala hawavitambui, kwani macho yao yamegandamana, yasione, mioyo yao isielewe maana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawajui wala hawafikiri; maana amewafumba macho, wasione, na mioyo yao, wasiweze kufahamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu hao hawajui wala hawaelewi kitu chochote. Wamefungwa macho wasipate kuona na akili wasipate kufahamu.