Isaiah 44:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi huzivuruga ishara za watabiri waongo na kuwapumbaza waaguzi. Mimi huyakanusha maneno ya wenye hekima na kufanya ujuzi wao kuwa upumbavu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mimi huzipinga ishara za manabii wa uongo, na kuwatia upumbavu waaguzi, niyapinduaye maarifa ya wenye hekima, na kuyafanya kuwa upuzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nizitanguaye ishara za waongo, na kuwatia waganga wazimu; niwarudishaye nyuma wenye hekima, na kuyageuza maarifa yao kuwa ujinga;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi huzivuruga ishara za watabiri waongo na kuwapumbaza waaguzi. Mimi huyakanusha maneno ya wenye hekima na kufanya ujuzi wao kuwa upumbavu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“yeye huzipinga ishara za manabii wa uongo, na kuwatia upumbavu waaguzi, ayapinduaye maarifa ya wenye hekima, na kuyafanya kuwa upuzi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“mimi huzipinga ishara za manabii wa uongo, na kuwatia upumbavu waaguzi, niyapinduaye maarifa ya wenye hekima, na kuyafanya kuwa upuzi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nizitanguaye ishara za waongo, na kuwatia waganga wazimu; niwarudishaye nyuma wenye hekima, na kuyageuza maarifa yao kuwa ujinga;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi huzivuruga ishara za watabiri waongo na kuwapumbaza waaguzi. Mimi huyakanusha maneno ya wenye hekima na kufanya ujuzi wao kuwa upumbavu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndege, wapuzi wanazoziona, nazibezesha, nao waaguaji nawalevya, nao walio werevu wa kweli nawarudisha nyuma, ujuzi wao naugeuza kuwa ujinga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nizitanguaye ishara za waongo, na kuwatia waganga wazimu; niwarudishaye nyuma wenye hekima, na kuyageuza maarifa yao kuwa ujinga;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ninavuruga maono ya manabii wa uongo na ninapoteza akili za waaguzi. Mimi ninayapinga maneno ya wenye hekima na kufanya elimu yao kuwa upumbafu.