Isaiah 44:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watachipua kama nyasi penye maji mengi, kama majani kandokando ya vijito.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao watachipua kama nyasi katika shamba la majani, kama mierezi kando ya vijito vya maji yanayotiririka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao watatokea katika manyasi, kama mierebi karibu na mifereji ya maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watachipua kama nyasi penye maji mengi, kama majani kandokando ya vijito.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao watachipua kama manyasi katika shamba la majani, kama mierezi kando ya vijito vya maji yatiririkayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao watachipua kama manyasi katika shamba la majani, kama mierezi kando ya vijito vya maji yatiririkayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao watachipua kama nyasi, kama mierezi kandokando mwa vijito.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watachipua kama nyasi penye maji mengi, kama majani kandokando ya vijito.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakuwa kama majani kwenye maji au kama mifuu kwenye mito yenye maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao watatokea katika manyasi, kama mierebi karibu na mifereji ya maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watachipuka kama nyasi penye maji mengi, kama majani kandokando ya vijito.