Isaiah 44:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mmoja atasema: ‘Mimi ni wa Mwenyezi-Mungu’, mwingine atajiita kwa jina la Yakobo, mwingine ataandika mkononi mwake, ‘Wa Mwenyezi-Mungu’, na kujitambulisha kwa jina la Israeli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mmoja atasema, ‘Mimi ni wa Mwenyezi Mungu’; mwingine atajiita kwa jina la Yakobo; vilevile mwingine ataandika juu ya mkono wake, ‘Wa Mwenyezi Mungu,’ na kujiita kwa jina la Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mmoja atasema, Mimi ni wa Bwana; na mwingine atajiita kwa jina la Yakobo; na mwingine ataandika juu ya mkono wake, Kwa Bwana, na kujiita kwa jina la Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mmoja atasema: ‘Mimi ni wa Mwenyezi-Mungu’, mwingine atajiita kwa jina la Yakobo, mwingine ataandika mkononi mwake, ‘Wa Mwenyezi-Mungu’, na kujitambulisha kwa jina la Israeli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mmoja atasema, ‘Mimi ni wa BWANA’; mwingine atajiita kwa jina la Yakobo; vile vile mwingine ataandika juu ya mkono wake, ‘Wa BWANA,’ na kujiita kwa jina la Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mmoja atasema, ‘Mimi ni wa bwana ’; mwingine atajiita kwa jina la Yakobo; vilevile mwingine ataandika juu ya mkono wake, ‘Wa bwana,’ na kujiita kwa jina la Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mmoja atasema, Mimi ni wa BWANA; na mwingine atajiita kwa jina la Yakobo; na mwingine ataandika juu ya mkono wake, Kwa BWANA, na kujiita kwa jina la Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mmoja atasema: ‘Mimi ni wa Mwenyezi-Mungu’, mwingine atajiita kwa jina la Yakobo, mwingine ataandika mkononi mwake, ‘Wa Mwenyezi-Mungu’, na kujitambulisha kwa jina la Israeli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyu atasema: Mimi ni wake Bwana, naye mwenziwe atajiita kwa jina la Yakobo, naye mwingine ataandika mikononi mwake: Wa Bwana, mwingine atajivunia jina la Isiraeli,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mmoja atasema, Mimi ni wa BWANA; na mwingine atajiita kwa jina la Yakobo; na mwingine ataandika juu ya mkono wake, Kwa BWANA, na kujiita kwa jina la Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumoja atasema: “Mimi ni wa Yawe”, mwingine atajiita kwa jina la Yakobo, mwingine ataandika juu ya mukono wake: “Wa Yawe”, na kujitambulisha kwa jina la Israeli.