Isaiah 44:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni nani Mungu aliye kama mimi? Mwache atangaze na kusema wazi mbele yangu. Nani alitangaza hapo kale mambo ambayo yatatukia? Na watuambie yale ambayo bado kutokea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani basi aliye kama mimi? Yeye na atangaze. Yeye atangaze na kuweka mbele yangu ni kitu gani kilichotokea tangu nilipoumba watu wangu wa kale, tena ni nini kitakachotokea: naam, yeye na atoe unabii ni nini kitakachokuja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye ni nani kama mimi atakayeita, na kuyahubiri haya, na kunitengenezea, tangu nilipowaweka watu wa kale? Na mambo yanayokuja na yatakayotokea, wayatangaze.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni nani Mungu aliye kama mimi? Mwache atangaze na kusema wazi mbele yangu. Nani alitangaza hapo kale mambo ambayo yatatukia? Na watuambie yale ambayo bado kutokea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani basi aliye kama mimi? Yeye na aseme. Yeye na aseme na kuweka mbele yangu ni kitu gani kilichotokea tangu nilipoumba watu wangu wa kale, tena ni nini kitakachotokea, naam, yeye na atoa unabii ni nini kitakachokuja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani basi aliye kama mimi? Yeye na atangaze. Yeye atangaze na kuweka mbele yangu ni kitu gani kilichotokea tangu nilipoumba watu wangu wa kale, tena ni nini kitakachotokea: naam, yeye na atoe unabii ni nini kitakachokuja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye ni nani kama mimi atakayeita, na kuyahubiri haya, na kunitengenezea, tangu nilipowaweka watu wa kale? Na mambo yanayokuja na yatakayotokea, wayatangaze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni nani Mungu aliye kama mimi? Mwache atangaze na kusema wazi mbele yangu. Nani alitangaza hapo kale mambo ambayo yatatukia? Na watuambie yale ambayo bado kutokea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani anayefanana na mimi? Na apaze sauti, ayatangaze! Tena anieleze, kama ni kwa sababu gani, nikiweka ukoo wa watu kuwa wa kale na kale. Hata yajayo nayo yatakayokuja na wayatangazie watu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye ni nani kama mimi atakayeita, na kuyahubiri haya, na kunitengenezea, tangu nilipowaweka watu wa kale? Na mambo yanayokuja na yatakayotokea, wayatangaze.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni nani mungu anayekuwa kama mimi? Muache atangaze na kusema wazi mbele yangu. Nani alitangaza hapo zamani mambo ambayo yatatukia? Watuambie yale ambayo bado yatatokea.