Isaiah 45:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ole wake mtoto amwambiaye baba yake, “Kwa nini umenizaa?” Au amwambiaye mama yake, “Ya nini umenileta duniani?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ole wake amwambiaye baba yake, ‘Umezaa nini?’ Au kumwambia mama yake, ‘Umezaa kitu gani?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wake amwambiaye baba yake, Wazaa nini? Au mwanamke, Una utungu wa nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ole wake mtoto amwambiaye baba yake, “Kwa nini umenizaa?” Au amwambiaye mama yake, “Ya nini umenileta duniani?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ole wake amwambiaye baba yake, ‘Umezaa nini?’ Au kumwambia mama yake, ‘Umezaa kitu gani?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ole wake amwambiaye baba yake, ‘Umezaa nini?’ Au kumwambia mama yake, ‘Umezaa kitu gani?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wake amwambiaye baba yake, Wazaa nini? Au mwanamke, Una uchungu wa kujifungua nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ole wake mtoto amwambiaye baba yake, “Kwa nini umenizaa?” Au amwambiaye mama yake, “Ya nini umenileta duniani?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yatampata amwambiaye baba yake: Watoto unawazalia nini? au amwambiaye mama yake: Mimba unazipatia nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wake amwambiaye baba yake, Wazaa nini? Au mwanamke, Una utungu wa nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole kwake mutu anayemwambia baba: Umezaa nini? au anayemwambia mama: Umeleta nini katika dunia?