Isaiah 45:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watengenezaji sanamu wataaibika na kufadhaika, wote kwa pamoja watavurugika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote watengenezao sanamu wataaibika na kutahayarika; wataenda kutahayarika pamoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watatahayarika, naam, watafadhaika, wote pia; wale wafanyao sanamu wataingia fadhaa pamoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watengenezaji sanamu wataaibika na kufadhaika, wote kwa pamoja watavurugika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote watengenezao sanamu wataaibika na kutahayarika; watatahayarika kwa pamoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote watengenezao sanamu wataaibika na kutahayarika; wataenda kutahayarika pamoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watatahayarika, naam, watafadhaika, wote pia; wale watengenezao sanamu wataingia fadhaa pamoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watengenezaji sanamu wataaibika na kufadhaika, wote kwa pamoja watavurugika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao wote pamoja watakuwa wameona soni kwa kutwezwa, mafundi wa vinyago watakuwa wamejiendea kwa kutwezwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watatahayarika, naam, watafadhaika, wote pia; wale wafanyao sanamu wataingia fadhaa pamoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watengenezaji wa sanamu watapata haya na kuzarauliwa, wote pamoja watafezeheka.