Isaiah 45:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini taifa la Israeli litaokolewa na Mwenyezi-Mungu, litapata wokovu wa milele. Halitaaibishwa wala kufadhaishwa milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Israeli ataokolewa na Mwenyezi Mungu kwa wokovu wa milele; kamwe hutaaibika wala kutatahayarika, milele yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali Israeli wataokolewa na Bwana kwa wokovu wa milele; ninyi hamtatahayarika, wala kufadhaika, milele na milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini taifa la Israeli litaokolewa na Mwenyezi-Mungu, litapata wokovu wa milele. Halitaaibishwa wala kufadhaishwa milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Israeli ataokolewa na BWANA kwa wokovu wa milele; kamwe hutaaibika wala kutatahayarika, milele yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Israeli ataokolewa na bwana kwa wokovu wa milele; kamwe hutaaibika wala kutatahayarika, milele yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali Israeli wataokolewa na BWANA kwa wokovu wa milele; ninyi hamtatahayarika, wala kufadhaika, milele na milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini taifa la Israeli litaokolewa na Mwenyezi-Mungu, litapata wokovu wa milele. Halitaaibishwa wala kufadhaishwa milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Isiraeli atakuwa ameokolewa na Bwana, atapata wokovu wa kale na kale, hamtaona soni, wala hamtatwezeka siku za kale na kale zitakazokuwa zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali Israeli wataokolewa na BWANA kwa wokovu wa milele; ninyi hamtatahayarika, wala kufadhaika, milele na milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini taifa la Israeli litaokolewa na Yawe, litapata wokovu wa milele. Halitapata haya wala kuzarauliwa milele.