Isaiah 45:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi sikunena kwa siri, wala katika nchi yenye giza. Mimi sikuwaambia wazawa wa Yakobo wanitafute katika ghasia. Mimi Mwenyezi-Mungu husema ukweli, maneno yangu ni ya kuaminika.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sijasema sirini, kutoka mahali fulani katika nchi ya giza; sijawaambia wazao wa Yakobo, ‘Nitafuteni bure.’ Mimi, Mwenyezi Mungu, nasema kweli; ninatangaza lililo sahihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikusema kwa siri, katika mahali pa nchi ya giza; sikuwaambia wazao wa Yakobo; Nitafuteni bure; Mimi, Bwana, nasema haki; nanena mambo ya adili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi sikunena kwa siri, wala katika nchi yenye giza. Mimi sikuwaambia wazawa wa Yakobo wanitafute katika ghasia. Mimi Mwenyezi-Mungu husema ukweli, maneno yangu ni ya kuaminika.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sijasema sirini, kutoka mahali fulani katika nchi ya giza; sijawaambia wazao wa Yakobo, ‘Nitafuteni bure.’ Mimi, BWANA, nasema kweli; ninatangaza lile lililo sahihi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sijasema sirini, kutoka mahali fulani katika nchi ya giza; sijawaambia wazao wa Yakobo, ‘Nitafuteni bure.’ Mimi, bwana, nasema kweli; ninatangaza lililo sahihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikusema kwa siri, katika mahali pa nchi ya giza; sikuwaambia wazao wa Yakobo; Nitafuteni bure; Mimi, BWANA, nasema haki; nanena mambo ya adili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi sikunena kwa siri, wala katika nchi yenye giza. Mimi sikuwaambia wazawa wa Yakobo wanitafute katika ghasia. Mimi Mwenyezi-Mungu husema ukweli, maneno yangu ni ya kuaminika.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikusema fichoni mahali penye giza ya nchi, wala sikuwaambia walio uzao wa Yakobo: Nitafuteni bure! Mimi Bwana husema yenye wongofu, hutangaza yanyokayo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikusema kwa siri, katika mahali pa nchi ya giza; sikuwaambia wazao wa Yakobo; Nitafuteni bure; Mimi, BWANA, nasema haki; nanena mambo ya adili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi sikusema kwa siri, wala katika inchi yenye giza. Mimi sikuwaambia wazao wa Yakobo wanitafute pahali kusipokuwa kitu. Mimi Yawe ninasema ukweli, maneno yangu ni ya kuaminika.