Isaiah 45:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi watu wa mataifa mliosalia, kusanyikeni pamoja mje! Nyinyi mmekosa akili: Nyinyi mwabeba sanamu za miti na kumwomba mungu asiyeweza kuokoa watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kusanyikeni pamoja mje, enyi wakimbizi kutoka mataifa. Wale wabebao sanamu za mti ni watu wasio na akili, wale waombao miungu isiyoweza kuokoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jikusanyeni mje; na kukaribia pamoja, ninyi wa mataifa mliookoka; hawana maarifa wale wachukuao mti wa sanamu yao ya kuchonga; wamwombao mungu asiyeweza kuokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi watu wa mataifa mliosalia, kusanyikeni pamoja mje! Nyinyi mmekosa akili: nyinyi mwabeba sanamu za miti na kumwomba mungu asiyeweza kuokoa watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kusanyikeni pamoja mje, enyi wakimbizi kutoka katika mataifa. Wale wabebao sanamu za mti ni watu wasio na akili, Wale waombao miungu ile isiyoweza kuokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kusanyikeni pamoja mje, enyi wakimbizi kutoka mataifa. Wale wabebao sanamu za mti ni watu wasio na akili, wale waombao miungu isiyoweza kuokoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jikusanyeni mje; na kukaribia pamoja, ninyi wa mataifa mliookoka; hawana maarifa wale wachukuao mti wa sanamu yao ya kuchonga; wamwombao mungu asiyeweza kuokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi watu wa mataifa mliosalia, kusanyikeni pamoja mje! Nyinyi mmekosa akili: Nyinyi mwabeba sanamu za miti na kumwomba mungu asiyeweza kuokoa watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njoni, kusanyikeni, mfike karibu, ninyi masao ya wamizimu mliopona! Hawajui kitu wajitwikao vinyago vya miti kulalamikia mungu usioweza kuokoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jikusanyeni mje; na kukaribia pamoja, ninyi wa mataifa mliookoka; hawana maarifa wale wachukuao mti wa sanamu yao ya kuchonga; wamwombao mungu asiyeweza kuokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi watu wa mataifa muliobaki, mukusanyike pamoja mukuje! Ninyi mumekosa akili: ninyi munabeba sanamu za miti na kumwomba mungu asiyeweza kuokoa watu.