Isaiah 45:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Watasema juu yangu, ‘Haki na nguvu viko kwa Mwenyezi-Mungu peke yake.’” Wote waliomwakia hasira Mwenyezi-Mungu watamjia yeye na kuaibishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watasema kunihusu, ‘Katika Mwenyezi Mungu peke yake ndiko kuna haki na nguvu.’ ” Wote ambao wamemkasirikia Mungu watamjia yeye, nao watatahayarika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mmoja ataniambia, Kwa Bwana, peke yake, iko haki na nguvu; naam, watu watamwendea yeye, na wote waliomkasirikia watatahayarika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Watasema juu yangu, ‘Haki na nguvu viko kwa Mwenyezi-Mungu peke yake.’” Wote waliomwakia hasira Mwenyezi-Mungu watamjia yeye na kuaibishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watasema kuhusu mimi, ‘Katika BWANA peke yake ndiko kuna haki na nguvu.’ ” Wote ambao wamemkasirikia Mungu watamjia yeye nao watatahayarika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watasema kuhusu mimi, ‘Katika bwana peke yake ndiko kuna haki na nguvu.’ ” Wote ambao wamemkasirikia Mungu watamjia yeye, nao watatahayarika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mmoja ataniambia, Kwa BWANA, peke yake, iko haki na nguvu; naam, watu watamwendea yeye, na wote waliomkasirikia watatahayarika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Watasema juu yangu, ‘Haki na nguvu viko kwa Mwenyezi-Mungu peke yake.’” Wote waliomwakia hasira Mwenyezi-Mungu watamjia yeye na kuaibishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwake Bwana peke yake ndiko, nilikopata wongofu na nguvu. Sharti waje kwake na kuona soni wote waliomkasirikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mmoja ataniambia, Kwa BWANA, peke yake, iko haki na nguvu; naam, watu watamwendea yeye, na wote waliomkasirikia watatahayarika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watasema juu yangu: Haki na nguvu viko kwa Yawe peke yake. Wote waliomukasirikia Yawe watakuja kwake na haya.