Isaiah 45:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wazawa wa Israeli watapata ushindi kwake Mwenyezi-Mungu na kufurahi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini katika Mwenyezi Mungu wazao wote wa Israeli wataonekana wenye haki na watashangilia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika Bwana wazao wote wa Israeli watapewa haki, na kutukuka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wazawa wa Israeli watapata ushindi kwake Mwenyezi-Mungu na kufurahi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini katika BWANA wazao wote wa Israeli wataonekana wenye haki na kutukuka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini katika bwana wazao wote wa Israeli wataonekana wenye haki na watashangilia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika BWANA wazao wote wa Israeli watapewa haki, na kutukuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wazawa wa Israeli watapata ushindi kwake Mwenyezi-Mungu na kufurahi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwake Bwana watapata wongofu, kisha watamshangilia wote walio wa uzao wake Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika BWANA wazao wote wa Israeli watapewa haki, na kutukuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wazao wa Israeli watapata ushindi toka kwa Yawe na kufurahi.