Isaiah 45:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili watu wote, toka mashariki hadi magharibi, wajue kwamba hakuna Mungu mwingine ila mimi; mimi ni Mwenyezi-Mungu na hakuna mwingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili kutoka mawio ya jua hadi machweo yake, watu wapate kujua kwamba hakuna Mungu mwingine ila Mimi. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu wala hakuna mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili wapate kujua toka maawio ya jua, na toka magharibi, ya kuwa hapana mwingine zaidi ya mimi; Mimi ni Bwana, wala hapana mwingine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili watu wote, toka mashariki hadi magharibi, wajue kwamba hakuna Mungu mwingine ila mimi; mimi ni Mwenyezi-Mungu na hakuna mwingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kwamba kutoka maawio ya jua mpaka machweo yake, watu wapate kujua kwamba hakuna Mungu mwingine ila Mimi. Mimi ndimi BWANA wala hakuna mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kutoka mawio ya jua mpaka machweo yake, watu wapate kujua kwamba hakuna Mungu mwingine ila Mimi. Mimi ndimi bwana wala hakuna mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili wapate kujua toka mawio ya jua, na toka magharibi, ya kuwa hapana mwingine zaidi ya mimi; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili watu wote, toka mashariki hadi magharibi, wajue kwamba hakuna Mungu mwingine ila mimi; mimi ni Mwenyezi-Mungu na hakuna mwingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani walioko maawioni nao walioko machweoni kwa jua ninawataka wote, wajue, ya kuwa hakuna aliye Mungu, isipokuwa mimi, mimi ni Bwana, hakuna mwingine tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili wapate kujua toka maawio ya jua, na toka magharibi, ya kuwa hapana mwingine zaidi ya mimi; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi watu wote, toka mashariki mpaka magaribi, wajue kwamba hakuna Mungu mwingine isipokuwa mimi tu. Mimi ni Yawe na hakuna mwingine.