Isaiah 45:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi hufanya mwanga na kuumba giza; huleta fanaka na kusababisha balaa. Mimi Mwenyezi-Mungu hutenda vitu hivi vyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi ninaumba nuru na kuhuluku giza, ninaleta mafanikio na kusababisha maafa. Mimi, Mwenyezi Mungu, huyatenda haya yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi naiumba nuru, na kulihuluku giza; mimi nafanya suluhu, na kuhuluku ubaya; Mimi ni Bwana, niyatendaye hayo yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi hufanya mwanga na kuumba giza; huleta fanaka na kusababisha balaa. Mimi Mwenyezi-Mungu hutenda vitu hivi vyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi ninaumba nuru na kuhuluku giza, ninaleta mafanikio na kusababisha maafa, Mimi, BWANA, hufanya vitu hivi vyote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi ninaumba nuru na kuhuluku giza, ninaleta mafanikio na kusababisha maafa. Mimi, bwana, huyatenda haya yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi naiumba nuru, na kulihuluku giza; mimi nafanya suluhu, na kuhuluku ubaya; Mimi ni BWANA, niyatendaye hayo yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi hufanya mwanga na kuumba giza; huleta fanaka na kusababisha balaa. Mimi Mwenyezi-Mungu hutenda vitu hivi vyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Natengeneza mwanga, naumba giza nayo, nafanya utengemano, naumba ubaya nao, mimi Bwana ndiye ayafanyaye hayo yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi naiumba nuru, na kulihuluku giza; mimi nafanya suluhu, na kuhuluku ubaya; Mimi ni BWANA, niyatendaye hayo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ninafanya mwangaza na kuumba giza; ninaleta uheri na kusababisha hasara. Mimi Yawe ninatenda vitu hivi vyote.