Isaiah 45:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi mbingu, nyesheni kutoka huko juu, mawingu na yadondoshe uadilifu; dunia na ifunuke, ichipushe wokovu, na kuchanusha uadilifu pia! Mimi, Mwenyezi-Mungu nimefanya hayo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Enyi mbingu juu, nyesheni haki, mawingu na yaidondoshe. Dunia na ifunguke sana, wokovu na uchipuke, haki na ikue pamoja nao. Mimi, Mwenyezi Mungu, ndiye niliyeiumba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Dondokeni, enyi mbingu, toka juu, Mawingu na yamwage haki; Nchi na ifunuke, ili kutoa wokovu, Nayo itoe haki ikamee pamoja; Mimi, Bwana, nimeiumba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi mbingu, nyesheni kutoka huko juu, mawingu na yadondoshe uadilifu; dunia na ifunuke, ichipushe wokovu, na kuchanusha uadilifu pia! Mimi, Mwenyezi-Mungu nimefanya hayo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Enyi mbingu juu, nyesheni haki, mawingu na yaidondoshe. Dunia na ifunguke sana, wokovu na uchipuke, haki na ikue pamoja nao; mimi, BWANA, ndiye niliyeiumba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Enyi mbingu juu, nyesheni haki, mawingu na yaidondoshe. Dunia na ifunguke sana, wokovu na uchipuke, haki na ikue pamoja nao. Mimi, bwana, ndiye niliyeiumba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Dondokeni, enyi mbingu, toka juu, Mawingu na yamwage haki; Nchi na ifunuke, ili kutoa wokovu, Nayo itoe haki ikamee pamoja; Mimi, BWANA, nimeiumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi mbingu, nyesheni kutoka huko juu, mawingu na yadondoshe uadilifu; dunia na ifunuke, ichipushe wokovu, na kuchanusha uadilifu pia! Mimi, Mwenyezi-Mungu nimefanya hayo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mbingu, nyesheni huko juu, nanyi mawingu umimineni wongofu, nchi ifunguliwe, ijae wokovu, ioteshe wongofu nao; mimi Bwana ndiye aliyeiumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Dondokeni, enyi mbingu, toka juu, Mawingu na yamwage haki; Nchi na ifunuke, ili kutoa wokovu, Nayo itoe haki ikamee pamoja; Mimi, BWANA, nimeiumba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi mbingu, munyeshe umande kutoka kule juu, mawingu yatiririshe ushindi; dunia ifuguke, ichipushe wokovu, na kuotesha haki vilevile! Mimi, Yawe nimefanya hayo.