Isaiah 46:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninamwita tai wangu kutoka mashariki, naam, msiri wangu kutoka nchi ya mbali. Mimi nimenena na nitayafanya; mimi nimepanga nami nitatekeleza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka mashariki ninaita ndege awindaye; kutoka nchi ya mbali, mtu atakayetimiza kusudi langu. Lile ambalo nimelisema, ndilo nitakalolitimiza; lile nililolipanga, ndilo nitakalolitenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikiita ndege mkali kutoka mashariki, mtu wa shauri langu toka nchi iliyo mbali; naam, nimenena, nami nitatekeleza; nimekusudia, nami nitafanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninamwita tai wangu kutoka mashariki, naam, msiri wangu kutoka nchi ya mbali. Mimi nimenena na nitayafanya; mimi nimepanga nami nitatekeleza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka mashariki ninaita ndege awindaye; kutoka nchi ya mbali, mtu atakayetimiza kusudi langu. Lile ambalo nimelisema, ndilo nitakalolitimiza; lile nililolipanga, hilo ndilo nitakalolitenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka mashariki ninaita ndege awindaye; kutoka nchi ya mbali, mtu atakayetimiza kusudi langu. Lile ambalo nimelisema, ndilo nitakalolitimiza; lile nililolipanga, ndilo nitakalolitenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikiita ndege mkali kutoka mashariki, mtu wa shauri langu toka nchi iliyo mbali; naam, nimenena, nami nitatekeleza; nimekusudia, nami nitafanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninamwita tai wangu kutoka mashariki, naam, msiri wangu kutoka nchi ya mbali. Mimi nimenena na nitayafanya; mimi nimepanga nami nitatekeleza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninaita kipanga maawioni kwa jua, katika nchi ya mbali ndiko, ninakotoa mtu atakayelifanya shauri langu. Kama nilivyosema, ndivyo, nitakavyoyatimiza; kama nilivyoyalinganya, ndivyo, nitakavyoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikiita ndege mkali kutoka mashariki, mtu wa shauri langu toka nchi iliyo mbali; naam, nimenena, nami nitatekeleza; nimekusudia, nami nitafanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninamwita tai wangu kutoka mashariki, ambaye atatimiza kusudi langu toka inchi ya mbali. Mimi nimesema na nitafanya; mimi nimepanga nami nitatimiza.