Isaiah 46:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mmeanguka na kuvunjika, hamwezi kuviokoa vinyago vyenu; nyinyi wenyewe pia mtapelekwa uhamishoni!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vinyago pamoja na wale wanaovibeba wanainama chini; hiyo miungu haiwezi kuwaokoa watu, wote wanaenda utumwani pamoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanajiinamisha, wanainama pamoja; hawakuweza kuutua mzigo, bali wao wenyewe wamekwenda kufungwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mmeanguka na kuvunjika, hamwezi kuviokoa vinyago vyenu; nyinyi wenyewe pia mtapelekwa uhamishoni!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vinyago pamoja na wale wanaovibeba wanainama chini; hiyo miungu haiwezi kuwaokoa watu, wote wanakwenda utumwani pamoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vinyago pamoja na wale wanaovibeba wanainama chini; hiyo miungu haiwezi kuwaokoa watu, wote wanakwenda utumwani pamoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanajiinamisha, wanainama pamoja; hawakuweza kuutua mzigo, bali wao wenyewe wamekwenda kufungwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mmeanguka na kuvunjika, hamwezi kuviokoa vinyago vyenu; nyinyi wenyewe pia mtapelekwa uhamishoni!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wako chini pamoja, kama walivyoanguka pamoja, hawakuweza kuviokoa vinyago, visichukuliwe, wao wenyewe wamekwenda kufungwa kwa kuwa mateka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanajiinamisha, wanainama pamoja; hawakuweza kuutua mzigo, bali wao wenyewe wamekwenda kufungwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanajiinamisha, wanainama pamoja. Hawakuweza kuziokoa sanamu zao. Wao wenyewe vilevile wamepelekwa katika utumwa!