Isaiah 46:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi ni yuleyule hata katika uzee wenu; hata katika uzee wenu mimi nitawabeba. Nilifanya hivyo kwanza, nitafanya hivyo tena. Nitawabeba nyinyi na kuwaokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata wakati wa uzee wenu na mvi, Mimi ndiye, Mimi ndiye nitakayewasaidia ninyi. Nimewahuluku, nami nitawabeba, nitawahudumia ninyi na kuwaokoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hata uzee wenu mimi ndiye, na hata wakati wenu wa mvi nitawachukueni; nimefanya, nami nitachukua; naam, nitachukua na kuokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi ni yuleyule hata katika uzee wenu; hata katika uzee wenu mimi nitawabeba. Nilifanya hivyo kwanza, nitafanya hivyo tena. Nitawabeba nyinyi na kuwaokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata mpaka wakati wa uzee wenu na mvi Mimi ndiye, Mimi ndiye nitakayewasaidia ninyi. Nimewahuluku nami nitawabeba, nitawasaidia ninyi na kuwaokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata mpaka wakati wa uzee wenu na mvi, Mimi ndiye, Mimi ndiye nitakayewasaidia ninyi. Nimewahuluku, nami nitawabeba, nitawasaidia ninyi na kuwaokoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na hata uzee wenu mimi ndiye, na hata wakati wenu wa mvi nitawachukueni; nimefanya, nami nitachukua; naam, nitachukua na kuokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi ni yuleyule hata katika uzee wenu; hata katika uzee wenu mimi nitawabeba. Nilifanya hivyo kwanza, nitafanya hivyo tena. Nitawabeba nyinyi na kuwaokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata mtakapokuwa wazee, mimi ndimi niliyekuwa; hata mtakapotoka mvi, mimi nitawachukua. Mimi nitayafanya nikijitwika mimi, mimi nitawachukua na kuwaokoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hata uzee wenu mimi ndiye, na hata wakati wenu wa mvi nitawachukueni; nimefanya, nami nitachukua; naam, nitachukua na kuokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nitabaki yuleyule hata katika uzee wenu; hata katika wakati wenu wa imvi mimi nitawabeba. Nilifanya hivyo kwanza, nitafanya hivyo tena. Nitawabeba ninyi na kuwaokoa.