Isaiah 46:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtanifananisha na nani, tufanane? Je, mwaweza kunilinganisha na nani, tulingane?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mtanilinganisha na nani, au mtanihesabu kuwa sawa na nani? Ni nani mtakayenifananisha naye ili tuweze kulinganishwa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtanifananisha na nani, na kunisawazisha naye, na kunilinganisha naye, ili tuwe sawasawa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtanifananisha na nani, tufanane? Je, mwaweza kunilinganisha na nani, tulingane?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mtanilinganisha na nani au mtanihesabu kuwa sawa na nani? Ni nani mtakayenifananisha naye ili tuweze kulinganishwa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mtanilinganisha na nani, au mtanihesabu kuwa sawa na nani? Ni nani mtakayenifananisha naye ili tuweze kulinganishwa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtanifananisha na nani, na kunisawazisha naye, na kunilinganisha naye, ili tuwe sawasawa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtanifananisha na nani, tufanane? Je, mwaweza kunilinganisha na nani, tulingane?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani, ambaye mtanifananisha naye, tuwe sawa? Yuko nani, ambaye mtanilinganisha naye, tufanane?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtanifananisha na nani, na kunisawazisha naye, na kunilinganisha naye, ili tuwe sawasawa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutanifananisha na nani na kunisawanisha naye? Mutanilinganisha na nani nipate kuwa sawasawa naye?