Isaiah 46:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kumbukeni jambo hili na kutafakari, liwazeni akilini mwenu enyi wakosefu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kumbukeni hili, litieni akilini, liwekeni moyoni, enyi waasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kumbukeni haya, mkajionyeshe kuwa waume; jifahamisheni haya, ninyi mkosao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kumbukeni jambo hili na kutafakari, liwazeni akilini mwenu enyi wakosefu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kumbukeni hili, mkajionyesha kuwa waume, litieni akilini, liwekeni moyoni, enyi waasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kumbukeni hili, litieni akilini, liwekeni moyoni, enyi waasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kumbukeni haya, mkajionyeshe kuwa wanaume; jifahamisheni haya, ninyi mkosao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kumbukeni jambo hili na kutafakari, liwazeni akilini mwenu enyi wakosefu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya yakumbukeni, mjishupaze! Yawekeni mioyoni, ninyi wapotovu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kumbukeni haya, mkajionyeshe kuwa waume; jifahamisheni haya, ninyi mkosao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukumbuke jambo hili na kufikiri, mujiulize ndani ya mioyo yenu enyi waasi.