Isaiah 47:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Teremka uketi mavumbini ewe Babuloni binti mzuri! Keti chini pasipo kiti cha enzi ewe binti wa Wakaldayo! Tokea sasa hutaitwa tena mwororo wala nadhifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Shuka uketi mavumbini, ee Bikira Binti Babeli; keti chini pasipo na kiti cha utawala, ee Binti wa Wakaldayo. Hutaitwa tena mwororo wala wa kupendeza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya, shuka, keti mavumbini, Ewe bikira, binti Babeli; Keti chini pasipo kiti cha enzi, Ewe binti wa Wakaldayo; Maana hutaitwa tena mwororo, mpenda anasa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Teremka uketi mavumbini ewe Babuloni binti mzuri! Keti chini pasipo kiti cha enzi ewe binti wa Wakaldayo! Tokea sasa hutaitwa tena mwororo wala nadhifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Shuka uketi mavumbini, Ee Bikira Binti Babeli; keti chini pasipo na kiti cha enzi, Ee binti wa Wakaldayo. Hutaitwa tena mwororo wala wa kupendeza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Shuka uketi mavumbini, ee Bikira Binti Babeli; keti chini pasipo na kiti cha enzi, ee binti wa Wakaldayo. Hutaitwa tena mwororo wala wa kupendeza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya, shuka, keti mavumbini, Ewe bikira, binti Babeli; Keti chini pasipo kiti cha enzi, Ewe binti wa Wakaldayo; Maana hutaitwa tena mwororo, mpenda anasa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Teremka uketi mavumbini ewe Babuloni binti mzuri! Keti chini pasipo kiti cha enzi ewe binti wa Wakaldayo! Tokea sasa hutaitwa tena mwororo wala nadhifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Shuka, ukae mavumbini, binti Babeli uliye mwanamwali! Kaa chini! Hakuna kiti kitukufu, mwana wa Wakasidi! Hutaitwa tena mwanana mwenye mwili mzuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya, shuka, keti mavumbini, Ewe bikira, binti Babeli; Keti chini pasipo kiti cha enzi, Ewe binti wa Wakaldayo; Maana hutaitwa tena mwororo, mpenda anasa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Shuka, uikae katika mavumbi, ewe bikira, binti wa Babeli! Ikaa chini pasipo kiti cha kifalme, ewe binti wa Wakaldea! Tokea sasa hautaitwa tena murembo wala mwenye kupendeza.