Isaiah 47:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Endelea basi na uganga wako, tegemea wingi wa uchawi wako. Wewe uliyapania hayo tangu ujana wako ukitumainia kwamba utafanikiwa au kusababisha kitisho kwa watu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Endelea basi na uaguzi wako, na wingi wa uchawi wako, ambao umeutumikia tangu utoto wako. Labda utafanikiwa, labda unaweza ukasababisha hofu kuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Simama sasa na uganga wako, na wingi wa uchawi wako, uliojitaabisha nao tangu ujana wako; labda utaweza kupata faida, labda utaweza kushinda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Endelea basi na uganga wako, tegemea wingi wa uchawi wako. Wewe uliyapania hayo tangu ujana wako ukitumainia kwamba utafanikiwa au kusababisha kitisho kwa watu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Endelea basi na uaguzi wako na wingi wa uchawi wako, ambao umeutumikia tangu utoto wako. Labda utafanikiwa, labda unaweza ukasababisha hofu kuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Endelea basi na uaguzi wako, na wingi wa uchawi wako, ambao umeutumikia tangu utoto wako. Labda utafanikiwa, labda unaweza ukasababisha hofu kuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Simama sasa na uganga wako, na wingi wa uchawi wako, uliojitaabisha nao tangu ujana wako; labda utaweza kupata faida, labda utaweza kushinda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Endelea basi na uganga wako, tegemea wingi wa uchawi wako. Wewe uliyapania hayo tangu ujana wako ukitumainia kwamba utafanikiwa au kusababisha kitisho kwa watu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jisimamie hapo, unapogangua, panapo mazindiko yako mengi, ambayo ulijisumbua nayo tangu ujana wako; labda utaweza kujipatia mafaa, labda utastusha watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Simama sasa na uganga wako, na wingi wa uchawi wako, uliojitaabisha nao tangu ujana wako; labda utaweza kupata faida, labda utaweza kushinda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Endelea basi na uganga wako, tegemea wingi wa uchawi wako. Wewe uliyashugulikia tangu ujana wako ukitumainia kwamba utafanikiwa au kusababisha woga kwa watu!