Isaiah 47:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndivyo watakavyokuwa hao uliowategemea hivyo, hao uliojishughulisha nao tangu ujana wako. Watatangatanga kila mmoja njia yake; hakuna hata mmoja atakayeweza kukuokoa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hayo ndiyo yote wanayoweza kuwatendea ninyi, hawa ambao umetaabika nao na kufanya nao biashara tangu utoto. Kila mmoja atatoroka; hakuna yeyote awezaye kukuokoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo yatakavyokuwa mambo hayo uliyojitaabisha nayo; wale waliofanya biashara nawe tangu ujana wako watatanga-tanga mbali nawe, kila mtu akienda zake; hapatakuwa na mtu wa kukuokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndivyo watakavyokuwa hao uliowategemea hivyo, hao uliojishughulisha nao tangu ujana wako. Watatangatanga kila mmoja njia yake; hakuna hata mmoja atakayeweza kukuokoa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hayo ndiyo yote wanayoweza kuwatendea ninyi, hawa ambao umetaabika nao na kufanya nao biashara tangu utoto. Kila mmoja atatoroka; hakuna ye yote awezaye kukuokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hayo ndiyo yote wanayoweza kuwatendea ninyi, hawa ambao umetaabika nao na kufanya nao biashara tangu utoto. Kila mmoja atatoroka; hakuna yeyote awezaye kukuokoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo yatakavyokuwa mambo hayo uliyojitaabisha nayo; wale waliofanya biashara nawe tangu ujana wako watatangatanga mbali nawe, kila mtu akienda zake; hapatakuwa na mtu wa kukuokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndivyo watakavyokuwa hao uliowategemea hivyo, hao uliojishughulisha nao tangu ujana wako. Watatangatanga kila mmoja njia yake; hakuna hata mmoja atakayeweza kukuokoa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, walivyokufanyia nao wachuuzi wako, uliowasumbukia tangu ujana wako, wametawanyika, kila mmoja upande wake, hakuna akuokoaye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo yatakavyokuwa mambo hayo uliyojitaabisha nayo; wale waliofanya biashara nawe tangu ujana wako watatanga-tanga mbali nawe, kila mtu akienda zake; hapatakuwa na mtu wa kukuokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndivyo watakavyokuwa hao uliowategemea hivyo, hao uliojishugulisha nao tangu ujana wako. Watatangatanga kila mumoja njia yake; hakuna hata mumoja atakayeweza kukuokoa.