Isaiah 47:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Twaa mawe ya kusagia, usage unga kama mtumwa! Vua utaji wako, ukavue na mavazi yako! Pandishia vazi lako miguuni, ukavuke mito.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chukua mawe ya kusagia, usage unga, vua shela yako. Pandisha mavazi yako, ondoa viatu vyako, vuka vijito kwa shida.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Twaa mawe ya kusagia, usage unga; Vua utaji wako, ondoa mavazi yako, Funua mguu wako, pita katika mito ya maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Twaa mawe ya kusagia, usage unga kama mtumwa! Vua utaji wako, ukavue na mavazi yako! Pandishia vazi lako miguuni, ukavuke mito.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chukua mawe ya kusagia na usage unga, vua shela yako. Pandisha mavazi yako, ondoa viatu vyako, vuka vijito kwa shida.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chukua mawe ya kusagia, usage unga, vua shela yako. Pandisha mavazi yako, ondoa viatu vyako, vuka vijito kwa shida.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Twaa mawe ya kusagia, usage unga; Vua utaji wako, ondoa mavazi yako, Funua mguu wako, pita katika mito ya maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Twaa mawe ya kusagia, usage unga kama mtumwa! Vua utaji wako, ukavue na mavazi yako! Pandishia vazi lako miguuni, ukavuke mito.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Chukua jiwe la kusagia, jike na dume, usage unga mwenyewe ukiisha kuuvua ukaya wako! Pandisha nguo, mapaja yaoneke, ukipita mito!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Twaa mawe ya kusagia, usage unga; Vua utaji wako, ondoa mavazi yako, Funua mguu wako, pita katika mito ya maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utwae mawe ya kusagia, usage unga kama mutumwa! Vua kitambaa chako, pandisha kanzu yako! Onyesha miguu yako kwa kuvuka mito.