Isaiah 47:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkombozi wetu ndiye Mtakatifu wa Israeli; Mwenyezi-Mungu wa majeshi ndilo jina lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkombozi wetu: Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni ndilo jina lake; ndiye yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkombozi wetu, Bwana wa majeshi ndilo jina lake, Mtakatifu wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkombozi wetu ndiye Mtakatifu wa Israeli; Mwenyezi-Mungu wa majeshi ndilo jina lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkombozi wetu: BWANA Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake; ndiye yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkombozi wetu: bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake; ndiye yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkombozi wetu, BWANA wa majeshi ndilo jina lake, Mtakatifu wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkombozi wetu ndiye Mtakatifu wa Israeli; Mwenyezi-Mungu wa majeshi ndilo jina lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkombozi wetu ni Bwana Mwenye vikosi, Jina lake ni Mtakatifu wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkombozi wetu, BWANA wa majeshi ndilo jina lake, Mtakatifu wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukombozi wetu ndiye Mutakatifu wa Israeli; Yawe wa majeshi ndilo jina lake.