Isaiah 47:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema: “Ewe taifa la Wakaldayo lililo kama binti mzuri, keti kimya na kutokomea gizani. Maana umepoteza hadhi yako ya kuwa bimkubwa wa falme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Keti kimya, ingia gizani, Binti wa Wakaldayo, hutaitwa tena malkia wa falme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kaa kimya, ingia gizani, Ee binti wa Wakaldayo; Maana hutaitwa tena Malkia wa falme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema: “Ewe taifa la Wakaldayo lililo kama binti mzuri, keti kimya na kutokomea gizani. Maana umepoteza hadhi yako ya kuwa bimkubwa wa falme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Keti kimya, ingia gizani, Binti wa Wakaldayo, hutaitwa tena malkia wa falme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Keti kimya, ingia gizani, Binti wa Wakaldayo, hutaitwa tena malkia wa falme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kaa kimya, ingia gizani, Ee binti wa Wakaldayo; Maana hutaitwa tena Malkia wa falme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema: “Ewe taifa la Wakaldayo lililo kama binti mzuri, keti kimya na kutokomea gizani. Maana umepoteza hadhi yako ya kuwa bimkubwa wa falme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyamaza kimya, uende zako gizani, mwana wa kike wa Wakasidi! Kwani hawatakuita tena bibi mwenye nchi za kifalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kaa kimya, ingia gizani, Ee binti wa Wakaldayo; Maana hutaitwa tena Malkia wa falme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikaa kimya, ingia katika giza, ewe taifa la Wakaldea. Maana umepoteza cheo yako ya kuwa malkia wa falme.