Isaiah 47:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliwakasirikia watu wangu Israeli, nikawafanya watu wangu kuwa haramu. Niliwatia mikononi mwako, nawe hukuwaonea huruma; na wazee uliwatwisha nira nzito mno.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niliwakasirikia watu wangu na kuaibisha urithi wangu; niliwatia mikononi mwako, nawe hukuwaonea huruma. Hata juu ya wazee uliweka nira nzito sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalikuwa nimekasirika na watu wangu, naliutia unajisi urithi wangu, nikawatia mkononi mwako; wewe hukuwatendea rehema; uliwatia wazee nira yako, nayo nzito sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliwakasirikia watu wangu Israeli, nikawafanya watu wangu kuwa haramu. Niliwatia mikononi mwako, nawe hukuwaonea huruma; na wazee uliwatwisha nira nzito mno.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niliwakasirikia watu wangu na kuaibisha urithi wangu; niliwatia mikononi mwako, nawe hukuwaonea huruma. Hata juu ya wazee uliweka nira nzito sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niliwakasirikia watu wangu na kuaibisha urithi wangu; niliwatia mikononi mwako, nawe hukuwaonea huruma. Hata juu ya wazee uliweka nira nzito sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilikuwa nimekasirika na watu wangu, niliutia unajisi urithi wangu, nikawatia mkononi mwako; wewe hukuwatendea rehema; kwa wazee uliifanya nira yako kuwa nzito sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliwakasirikia watu wangu Israeli, nikawafanya watu wangu kuwa haramu. Niliwatia mikononi mwako, nawe hukuwaonea huruma; na wazee uliwatwisha nira nzito mno.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipowakasirikia walio ukoo wangu, ndipo, nilipowachafua walio fungu langu, nikawatia mikononi mwako, lakini wewe hukuwahurumia, ukawatwika nao wazee mizigo yako iliyowalemea sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalikuwa nimekasirika na watu wangu, naliutia unajisi urithi wangu, nikawatia mkononi mwako; wewe hukuwatendea rehema; uliwatia wazee nira yako, nayo nzito sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliwakasirikia watu wangu, Israeli, nikawafanya watu wangu kuwa wanaharamu. Niliwatia katika mikono yako, nawe haukuwaonea huruma; na wazee uliwabebesha nira nzito sana.