Isaiah 47:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haya yote mawili yatakupata, ghafla, katika siku moja: Kupoteza watoto wako na kuwa mjane, ijapokuwa una wingi wa uchawi wako, na nguvu nyingi za uganga wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya mawili yatakupata, kufumba na kufumbua, katika siku moja: kufiwa na watoto, na ujane. Yote yatakupata kwa kipimo kikamilifu, ijapokuwa uchawi wako ni mwingi, na uaguzi wako ni mwingi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini mambo haya mawili yatakupata katika dakika moja siku moja, kufiwa na watoto, na ujane; yatakupata kiasi kitimilifu, uchawi wako ujapokuwa mwingi, na uganga wako mwingi mno.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haya yote mawili yatakupata, ghafla, katika siku moja: kupoteza watoto wako na kuwa mjane, ijapokuwa una wingi wa uchawi wako, na nguvu nyingi za uganga wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya yote mawili yatakupata kufumba na kufumbua, katika siku moja: kufiwa na watoto na ujane. Vyote hivyo vitakupata kwa kipimo kikamilifu, ijapokuwa uchawi wako ni mwingi na uaguzi wako ni mwingi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya mawili yatakupata, kufumba na kufumbua, katika siku moja: kufiwa na watoto, na ujane. Yote yatakupata kwa kipimo kikamilifu, ijapokuwa uchawi wako ni mwingi, na uaguzi wako ni mwingi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini mambo haya mawili yatakupata katika dakika moja siku moja, kufiwa na watoto, na ujane; yatakupata kiasi kamili, uchawi wako ujapokuwa mwingi, na uganga wako mwingi mno.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haya yote mawili yatakupata, ghafla, katika siku moja: Kupoteza watoto wako na kuwa mjane, ijapokuwa una wingi wa uchawi wako, na nguvu nyingi za uganga wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena yatakujia siku moja na kukugundua hayo mambo mawili: kuwa pasipo watoto na kukaa ujane; haya yatakujia yote pamoja, ijapo mazindiko yako yawe mengi, ijapo kugangua kwako kuwe kwenye nguvu sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini mambo haya mawili yatakupata katika dakika moja siku moja, kufiwa na watoto, na ujane; yatakupata kiasi kitimilifu, uchawi wako ujapokuwa mwingi, na uganga wako mwingi mno.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haya yote mawili yatakupata kwa rafla katika siku moja: kupoteza watoto wako na kuwa mujane, ijapokuwa una wingi wa uchawi wako, na nguvu nyingi za uganga wako.