Isaiah 48:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nitawajaribu lakini si kama fedha katika tanuri. Nitawajaribu katika tanuri ya taabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama, nimekusafisha, ingawa si kama fedha, nimekujaribu katika tanuru la mateso.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, nimekusafisha, lakini si kama fedha; nimekuchagua katika tanuru ya mateso.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nitawajaribu lakini si kama fedha katika tanuri. Nitawajaribu katika tanuri ya taabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama, nimekusafisha, ingawa si kama fedha, nimekujaribu katika tanuru ya mateso.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama, nimekusafisha, ingawa si kama fedha, nimekujaribu katika tanuru ya mateso.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, nimekusafisha, lakini si kama fedha; nimekuchagua katika tanuri ya mateso.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nitawajaribu lakini si kama fedha katika tanuri. Nitawajaribu katika tanuri ya taabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama! Nimekung'aza na kukuyeyusha, lakini sikukuona kuwa fedha; nikakujaribu na kukutia motoni mwenye mateso.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, nimekusafisha, lakini si kama fedha; nimekuchagua katika tanuru ya mateso.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nimekusafisha lakini si kama feza katika furu. Nimewapima katika furu ya taabu.