Isaiah 48:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi, naam, mimi nimeyasema na kumwita; nimemleta, naye atafaulu katika mpango wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi, naam, Mimi, nimenena; naam, nimemwita yeye. Nitamleta, naye atafanikiwa katika lile nililomtuma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi, naam, mimi, nimenena; naam, nimemwita; nimemleta, naye ataifanikisha njia yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi, naam, mimi nimeyasema na kumwita; nimemleta, naye atafaulu katika mpango wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi, yaani Mimi, nimenena; naam, nimemwita yeye. Nitamleta, naye atafanikiwa katika lile nililomtuma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi, naam, Mimi, nimenena; naam, nimemwita yeye. Nitamleta, naye atafanikiwa katika lile nililomtuma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi, naam, mimi, nimenena; naam, nimemwita; nimemleta, naye ataifanikisha njia yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi, naam, mimi nimeyasema na kumwita; nimemleta, naye atafaulu katika mpango wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi ndimi niliyeyasema! Kisha nikamwita, nikamleta, naye na aitimize njia yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi, naam, mimi, nimenena; naam, nimemwita; nimemleta, naye ataifanikisha njia yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi –ni mimi!– nimesema na kumwita; nimemuleta, naye atafanikiwa katika mupango wake.