Isaiah 48:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njoni karibu nami msikie jambo hili: Tangu mwanzo mimi sikusema kwa siri, tangu mambo hayo yaanze kutendeka, nimekuwapo.” Sasa, Bwana Mungu amenituma, na kunipa nguvu ya roho yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nikaribieni na msikilize hili: “Tangu tangazo la kwanza sikusema kwa siri; wakati litokeapo, nitakuwako hapo.” Sasa Bwana Mungu Mwenyezi amenituma, kwa Roho wake Mtakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikaribieni, sikieni haya; tokea mwanzo sikunena kwa siri; tangu yalipokuwapo, mimi nipo; na sasa Bwana MUNGU amenituma, na roho yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njoni karibu nami msikie jambo hili: Tangu mwanzo mimi sikusema kwa siri, tangu mambo hayo yaanze kutendeka, nimekuwapo.” Sasa, Bwana Mungu amenituma, na kunipa nguvu ya roho yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nikaribieni na msikilize hili: “Tangu tangazo la kwanza sikusema kwa siri; wakati litokeapo, nitakuwako hapo.” Sasa BWANA Mwenyezi amenituma, kwa Roho wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nikaribieni na msikilize hili: “Tangu tangazo la kwanza sikusema kwa siri; wakati litokeapo, nitakuwako hapo.” Sasa bwana Mwenyezi amenituma, kwa Roho wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikaribieni, sikieni haya; tokea mwanzo sikunena kwa siri; tangu yalipokuwapo, mimi nipo; na sasa Bwana MUNGU amenituma, na roho yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njoni karibu nami msikie jambo hili: Tangu mwanzo mimi sikusema kwa siri, tangu mambo hayo yaanze kutendeka, nimekuwapo.” Sasa, Bwana Mungu amenituma, na kunipa nguvu ya roho yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nifikieni karibu, myasikie haya! Tangu mwanzo sijasema mafichoni, tangu hapo yalipokuwapo mimi nipo! Na sasa Bwana Mungu amenituma na kunipa roho yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikaribieni, sikieni haya; tokea mwanzo sikunena kwa siri; tangu yalipokuwapo, mimi nipo; na sasa Bwana MUNGU amenituma, na roho yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musogee karibu nami musikie jambo hili: Tangu mwanzo mimi sikusema kwa siri, tangu mambo hayo yaanze kutendeka, nimekuwa pale. Sasa, Bwana wetu Yawe amenituma, na kunipa nguvu ya Roho wake.