Isaiah 48:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Laiti ungalizitii amri zangu! Hapo baraka zingekutiririkia kama mto, ungepata fanaka kwa wingi kama mawimbi ya bahari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Laiti ungesikiliza kwa makini maagizo yangu, amani yako ingekuwa kama mto, haki yako kama mawimbi ya bahari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Laiti ungalisikiliza amri zangu! Ndipo amani yako ingalikuwa kama mto wa maji, na haki yako kama mawimbi ya bahari;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Laiti ungalizitii amri zangu! Hapo baraka zingekutiririkia kama mto, ungepata fanaka kwa wingi kama mawimbi ya bahari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Laiti ungesikiliza kwa makini maagizo yangu, amani yako ingekuwa kama mto, haki yako kama mawimbi ya bahari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Laiti ungesikiliza kwa makini maagizo yangu, amani yako ingekuwa kama mto, haki yako kama mawimbi ya bahari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Laiti ungalisikiliza amri zangu! Ndipo amani yako ingalikuwa kama mto wa maji, na haki yako kama mawimbi ya bahari;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Laiti ungalizitii amri zangu! Hapo baraka zingekutiririkia kama mto, ungepata fanaka kwa wingi kama mawimbi ya bahari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ungaliyaangalia maagizo yangu, utengemano wako ungalikuwa kama mto, nao wongofu wako ungalikuwa kama mawimbi ya bahari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Laiti ungalisikiliza amri zangu! Ndipo amani yako ingalikuwa kama mto wa maji, na haki yako kama mawimbi ya bahari;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ingekuwa heri ungalizitii amri zangu! Halafu baraka zingekutiririkia kama muto, ungefanikiwa kwa wingi kama mawimbi ya bahari.