Isaiah 48:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mnaona fahari kujiita watu wa mji mtakatifu, na kujidai kumtegemea Mungu wa Israeli, ambaye jina lake ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ninyi mnaojiita raia wa mji mtakatifu, na kumtegemea Mungu wa Israeli, Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni ndilo jina lake:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hujiita wenyeji wa mji mtakatifu, hujitegemeza juu ya Mungu wa Israeli; Bwana wa majeshi ni jina lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mnaona fahari kujiita watu wa mji mtakatifu, na kujidai kumtegemea Mungu wa Israeli, ambaye jina lake ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ninyi mnaojiita raia wa mji mtakatifu, na kumtegemea Mungu wa Israeli, BWANA Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ninyi mnaojiita raiya wa mji mtakatifu, na kumtegemea Mungu wa Israeli, bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hujiita wenyeji wa mji mtakatifu, hujitegemeza juu ya Mungu wa Israeli; BWANA wa majeshi ni jina lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mnaona fahari kujiita watu wa mji mtakatifu, na kujidai kumtegemea Mungu wa Israeli, ambaye jina lake ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanajiita kwa jina la mji mtakatifu, wanajishikiza kwake Mungu wa Isiraeli, Bwana Mwenye vikosi na Jina lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hujiita wenyeji wa mji mtakatifu, hujitegemeza juu ya Mungu wa Israeli; BWANA wa majeshi ni jina lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi munaona utukufu kujiita watu wa muji mutakatifu, na kujidai kumutegemea Mungu wa Israeli, ambaye jina lake ni Yawe wa majeshi.