Isaiah 48:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipowaongoza jangwani hawakuona kiu, aliwatiririshia maji kutoka mwambani, aliupasua mwamba maji yakabubujika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawakuona kiu alipowaongoza kupita jangwani; alifanya maji yatiririke kutoka mwamba kwa ajili yao; akapasua mwamba na maji yakatoka kwa nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hawakuona kiu alipowaongoza jangwani; Alitoa maji katika mwamba kwa ajili yao; Pia akaupasua mwamba, maji yakatoka kwa nguvu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipowaongoza jangwani hawakuona kiu, aliwatiririshia maji kutoka mwambani, aliupasua mwamba maji yakabubujika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawakuona kiu alipowaongoza kupita katika majangwa; alifanya maji yatiririke kutoka kwenye mwamba kwa ajili yao; akapasua mwamba na maji yakatoka kwa nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawakuona kiu alipowaongoza kupita jangwani; alifanya maji yatiririke kutoka kwenye mwamba kwa ajili yao; akapasua mwamba na maji yakatoka kwa nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hawakuona kiu alipowaongoza jangwani; Alitoa maji katika mwamba kwa ajili yao; Pia akaupasua mwamba, maji yakatoka kwa nguvu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipowaongoza jangwani hawakuona kiu, aliwatiririshia maji kutoka mwambani, aliupasua mwamba maji yakabubujika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawakupata kiu, alipowapitisha majangwani, akawatolea maji miambani; alipopasua miamba, maji yakabubujika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hawakuona kiu alipowaongoza jangwani; Alitoa maji katika mwamba kwa ajili yao; Pia akaupasua mwamba, maji yakatoka kwa nguvu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipowaongoza katika jangwa hawakuona kiu, aliwatiririshia maji kutoka katika jiwe, alipasua jiwe maji yakabubujika.