Isaiah 48:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mambo hayo yanatukia sasa; hukupata kuyasikia kabla ya leo, hivyo huwezi kusema, ‘Aa! Nilikwisha yajua.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yameumbwa sasa, wala si tangu zamani; hukupata kuyasikia kabla ya siku ya leo. Hivyo huwezi kusema, ‘Naam, niliyajua hayo.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yameumbwa sasa, wala si tokea zamani; na kabla ya siku hii ya leo hukusikia habari yake; usije ukasema, Tazama, naliyajua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mambo hayo yanatukia sasa; hukupata kuyasikia kabla ya leo, hivyo huwezi kusema, ‘Aa! Nilikwisha yajua.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yameumbwa sasa, wala si tangu zamani; hukupata kuyasikia kabla ya siku ya leo. Hivyo huwezi kusema, ‘Naam, niliyajua hayo.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yameumbwa sasa, wala si tangu zamani; hukupata kuyasikia kabla ya siku ya leo. Hivyo huwezi kusema, ‘Naam, niliyajua hayo.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yameumbwa sasa, wala si tokea zamani; na kabla ya siku hii ya leo hukusikia habari yake; usije ukasema, Tazama, niliyajua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mambo hayo yanatukia sasa; hukupata kuyasikia kabla ya leo, hivyo huwezi kusema, ‘Aa! Nilikwisha yajua.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yameumbwa sasa, si kale; mpaka leo hukuyasikia bado, usiseme: Hayo nimekwisha kuyajua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yameumbwa sasa, wala si tokea zamani; na kabla ya siku hii ya leo hukusikia habari yake; usije ukasema, Tazama, naliyajua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mambo hayo yanatukia sasa; haukupata kuyasikia mbele ya siku ya leo, hivyo hauwezi kusema: Aa! Nilikwisha kuyajua.