Isaiah 49:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Milima yote nitaifanya kuwa njia, na barabara zangu kuu nitazitengeneza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaifanya milima yangu yote kuwa barabara, na njia kuu zangu zitainuliwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitafanya milima yangu yote kuwa njia, na njia kuu zangu zitatukuzwa zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Milima yote nitaifanya kuwa njia, na barabara zangu kuu nitazitengeneza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaifanya milima yangu yote kuwa barabara na njia kuu zangu zitainuliwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaifanya milima yangu yote kuwa barabara, na njia kuu zangu zitainuliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitafanya milima yangu yote kuwa njia, na njia zangu zote kuu zitainuliwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Milima yote nitaifanya kuwa njia, na barabara zangu kuu nitazitengeneza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo milima yangu yote nitaiweka kuwa njia, nazo barabara zangu zitapitia juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitafanya milima yangu yote kuwa njia, na njia kuu zangu zitatukuzwa zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Milima yote nitaifanya kuwa njia, na barabara zangu kubwa nitazitengeneza.