Isaiah 49:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wangu watarudi kutoka mbali, wengine kutoka kaskazini na magharibi, wengine kutoka upande wa kusini.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama, watakuja kutoka mbali: wengine kutoka kaskazini, wengine kutoka magharibi, wengine kutoka nchi ya Sinimu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, hawa watakuja kutoka mbali; na tazama, hawa kutoka kaskazini, na kutoka magharibi, na hawa kutoka nchi ya Sinimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wangu watarudi kutoka mbali, wengine kutoka kaskazini na magharibi, wengine kutoka upande wa kusini.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama, watakuja kutoka mbali: wengine kutoka kaskazini, wengine kutoka magharibi, wengine kutoka nchi ya Sinimu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama, watakuja kutoka mbali: wengine kutoka kaskazini, wengine kutoka magharibi, wengine kutoka nchi ya Sinimu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, hawa watakuja kutoka mbali; na tazama, hawa kutoka kaskazini, na kutoka magharibi, na hawa kutoka nchi ya Sinimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wangu watarudi kutoka mbali, wengine kutoka kaskazini na magharibi, wengine kutoka upande wa kusini.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na mwaone watakaotoka mbali: wengine watatoka upande wa kaskazini, wengine upande wa baharini, wengine nchi ya Sinimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, hawa watakuja kutoka mbali; na tazama, hawa kutoka kaskazini, na kutoka magharibi, na hawa kutoka nchi ya Sinimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wangu watarudia kutoka mbali, wengine kutoka kaskazini na magaribi, wengine kutoka upande wa kusini.