Isaiah 49:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Imbeni kwa furaha, enyi mbingu! Shangilia ewe dunia. Pazeni sauti mwimbe enyi milima, maana Mwenyezi-Mungu amewafariji watu wake, naam, atawaonea huruma watu wake wanaoteseka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pigeni kelele kwa furaha, enyi mbingu; furahi, ee dunia; pazeni sauti kwa kuimba, enyi milima! Kwa maana Mwenyezi Mungu anawafariji watu wake, naye atakuwa na huruma kwa watu wake walioumizwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Imbeni, enyi mbingu; ufurahi, Ee nchi; Pazeni sauti ya kuimba, enyi milima; Kwa kuwa Bwana amewafariji watu wake, Naye atawahurumia watu wake walioteswa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Imbeni kwa furaha, enyi mbingu! Shangilia ewe dunia. Pazeni sauti mwimbe enyi milima, maana Mwenyezi-Mungu amewafariji watu wake, naam, atawaonea huruma watu wake wanaoteseka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pigeni kelele kwa furaha, Enyi mbingu; furahi, Ee dunia; pazeni sauti kwa kuimba, Enyi milima! Kwa maana BWANA anawafariji watu wake, naye atakuwa na huruma kwa watu wake walioumizwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pigeni kelele kwa furaha, enyi mbingu; furahi, ee dunia; pazeni sauti kwa kuimba, enyi milima! Kwa maana bwana anawafariji watu wake, naye atakuwa na huruma kwa watu wake walioumizwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Imbeni, enyi mbingu; ufurahi, Ee nchi; Pazeni sauti ya kuimba, enyi milima; Kwa kuwa BWANA amewafariji watu wake, Naye atawahurumia watu wake walioteswa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Imbeni kwa furaha, enyi mbingu! Shangilia ewe dunia. Pazeni sauti mwimbe enyi milima, maana Mwenyezi-Mungu amewafariji watu wake, naam, atawaonea huruma watu wake wanaoteseka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Shangilieni mbingu! Nawe nchi, piga vigelegele! Nayo milima na ipige shangwe! Kwani Bwana amewatuliza walio ukoo wake, akawahurumia wanyonge walio wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Imbeni, enyi mbingu; ufurahi, Ee nchi; Pazeni sauti ya kuimba, enyi milima; Kwa kuwa BWANA amewafariji watu wake, Naye atawahurumia watu wake walioteswa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muimbe kwa furaha, enyi mbingu! Ushangilie ewe dunia, Enyi milima, mulalamike kwa furaha, maana Yawe amewafariji watu wake, anawaonea huruma watu wake wanaoteseka.