Isaiah 49:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe Siyoni wasema: “Mwenyezi-Mungu ameniacha; hakika Bwana wangu amenisahau.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Sayuni alisema, “Mwenyezi Mungu ameniacha, Bwana amenisahau.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali Sayuni alisema, YEHOVA ameniacha, Bwana amenisahau.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe Siyoni wasema: “Mwenyezi-Mungu ameniacha; hakika Bwana wangu amenisahau.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Sayuni alisema, “BWANA ameniacha, Bwana amenisahau.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Sayuni alisema, “ bwana ameniacha, Bwana amenisahau.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali Sayuni alisema, YEHOVA ameniacha, Bwana amenisahau.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe Siyoni wasema: “Mwenyezi-Mungu ameniacha; hakika Bwana wangu amenisahau.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sioni ulisema: Bwana ameniacha; Bwana wangu amenisahau.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali Sayuni alisema, YEHOVA ameniacha, Bwana amenisahau.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe Sayuni unasema: Yawe ameniacha. Hakika Bwana wangu amenisahau.