Isaiah 49:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanao waliozaliwa uhamishoni, watakulalamikia wakisema: ‘Nchi hii ni ndogo mno; tupatie nafasi zaidi ya kuishi.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watoto waliozaliwa wakati wa msiba wako bado watakuambia, ‘Mahali hapa ni finyu sana kwetu, tupe eneo kubwa zaidi la kuishi.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watoto ulionyang'anywa watasema masikioni mwako, Mahali hapa ni pembamba, hapanitoshi; nipe nafasi nipate kukaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanao waliozaliwa uhamishoni, watakulalamikia wakisema: ‘Nchi hii ni ndogo mno; tupatie nafasi zaidi ya kuishi.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watoto waliozaliwa wakati wa msiba wako bado watakuambia, ‘Mahali hapa ni finyu sana kwa ajili yetu, tupe eneo kubwa zaidi la kuishi.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watoto waliozaliwa wakati wa msiba wako bado watakuambia, ‘Mahali hapa ni finyu sana kwetu, tupe eneo kubwa zaidi la kuishi.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watoto ulionyang'anywa watasema masikioni mwako, Mahali hapa ni pembamba, hapanitoshi; nipe nafasi nipate kukaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanao waliozaliwa uhamishoni, watakulalamikia wakisema: ‘Nchi hii ni ndogo mno; tupatie nafasi zaidi ya kuishi.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa, wanao waliozaliwa katika ukiwa wako wasemeane masikioni mwako: Pangu ni padogo, sogeza, ndugu yangu, nipate kukaa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watoto ulionyang’anywa watasema masikioni mwako, Mahali hapa ni pembamba, hapanitoshi; nipe nafasi nipate kukaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watoto wako waliozaliwa katika uhamisho, watakulalamikia wakisema: Inchi hii ni ndogo sana; utupatie nafasi zaidi ya kuishi.