Isaiah 49:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Yerusalemu walalamika: “Je, shujaa aweza kunyanganywa nyara zake? Au mateka wa mtu katili waweza kuokolewa?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, nyara zaweza kuchukuliwa kutoka kwa mashujaa wa vita, au mateka kuokolewa kutoka kwa watu wakali?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Aliye hodari aweza kunyang'anywa mateka yake, au jeshi lao waliofungwa halali wataokoka?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Yerusalemu walalamika: “Je, shujaa aweza kunyang'anywa nyara zake? Au mateka wa mtu katili waweza kuokolewa?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, nyara zaweza kuchukuliwa kutoka kwa mashujaa wa vita, au mateka kuokolewa kutoka kwa watu wakali?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, nyara zaweza kuchukuliwa kutoka kwa mashujaa wa vita, au mateka kuokolewa kutoka kwa watu wakali?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Aliye hodari aweza kunyang'anywa mateka wake, au mateka wa mtu katili kuokoka?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Yerusalemu walalamika: “Je, shujaa aweza kunyanganywa nyara zake? Au mateka wa mtu katili waweza kuokolewa?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Mwenye nguvu atachukuliwa mateka yake? Au kole zake mwongofu zitakombolewa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Aliye hodari aweza kunyang’anywa mateka yake, au jeshi lao waliofungwa halali wataokoka?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Yerusalema wanalalamika: Shujaa, anaweza kunyanganywa vitu alivyoteka? Au wafungwa wa mutu mutesaji wanaweza kuokolewa?