Isaiah 49:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliniambia, “Wewe ni mtumishi wangu; kwako, Israeli, watu watanitukuza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaniambia, “Wewe u mtumishi wangu, Israeli, ambaye ndani yake nitaonesha utukufu wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akaniambia; Wewe u mtumishi wangu, Israeli, ambaye katika wewe nitatukuzwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliniambia, “Wewe ni mtumishi wangu; kwako, Israeli, watu watanitukuza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaniambia, “Wewe u mtumishi wangu, Israeli, ambaye katika yeye nitaonyesha utukufu wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaniambia, “Wewe u mtumishi wangu, Israeli, ambaye katika yeye nitaonyesha utukufu wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akaniambia; Wewe u mtumishi wangu, Israeli, ambaye katika wewe nitatukuzwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliniambia, “Wewe ni mtumishi wangu; kwako, Israeli, watu watanitukuza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaniambia: Ndiwe mtumishi wangu, wewe Isiraeli ndiwe, ambaye nitajitukuzia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akaniambia; Wewe u mtumishi wangu, Israeli, ambaye katika wewe nitatukuzwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliniambia: Wewe ni mutumishi wangu; kwa njia yako, ee Israeli, watu watanitukuza.