Isaiah 49:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kuwaambia wafungwa, ‘Tokeni humo gerezani’, na wale walio gizani, ‘Njoni nje mwangani!’ Kila mahali watakapokwenda watapata chakula hata kwenye vilima vitupu watapata malisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuwaambia mateka, ‘Tokeni nje,’ nao wale walio gizani, ‘Kuweni huru!’ “Watajilisha kando ya barabara na kupata malisho yao juu ya kila kilima kilicho kitupu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kuwaambia waliofungwa, Haya, tokeni; na hao walio katika giza, Jionyesheni. Watajilisha katika njia, na juu ya majabali watapata malisho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kuwaambia wafungwa, ‘Tokeni humo gerezani’, na wale walio gizani, ‘Njoni nje mwangani!’ Kila mahali watakapokwenda watapata chakula hata kwenye vilima vitupu watapata malisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuwaambia mateka, ‘Tokeni nje,’ nao wale walio gizani, ‘Iweni huru!’ “Watajilisha kando ya barabara na kupata malisho yao juu ya kila kilima kilicho kitupu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuwaambia mateka, ‘Tokeni nje,’ nao wale walio gizani, ‘Kuweni huru!’ “Watajilisha kando ya barabara na kupata malisho yao juu ya kila kilima kilicho kitupu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kuwaambia waliofungwa, Haya, tokeni; na hao walio katika giza, Jionyesheni. Watajilisha katika njia, na juu ya majabali watapata malisho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kuwaambia wafungwa, ‘Tokeni humo gerezani’, na wale walio gizani, ‘Njoni nje mwangani!’ Kila mahali watakapokwenda watapata chakula hata kwenye vilima vitupu watapata malisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
uwaambie wafungwa: Tokeni! nao waliomo gizani: Kesheni! Watalisha njiani, napo vilimani po pote palipokuwa pakavu wataona malisho yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kuwaambia waliofungwa, Haya, tokeni; na hao walio katika giza, Jionyesheni. Watajilisha katika njia, na juu ya majabali watapata malisho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utawaambia wafungwa: Mutoke humo katika kifungo na wale wanaokuwa katika giza: Mukuje inje kwenye mwangaza! Kila pahali watakapokwenda watapata chakula hata kwenye vilima vitupu watapata malisho.