Isaiah 5:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika karamu zao, hapakosekani vinubi, zeze, matari, filimbi na divai. Lakini hawajali matendo ya Mwenyezi-Mungu, wala kuzitambua kazi za mikono yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana vinubi na zeze kwenye karamu zao, matari, filimbi na mvinyo, lakini hawayajali matendo ya Mwenyezi Mungu, wala hawana heshima kwa ajili ya kazi ya mikono yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kinubi, na zeze, na matari, na filimbi, na mvinyo, zote ziko katika karamu zao; lakini hawaiangalii kazi ya Bwana wala kuyafikiri matendo ya mikono yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika karamu zao, hapakosekani vinubi, zeze, matari, filimbi na divai. Lakini hawajali matendo ya Mwenyezi-Mungu, wala kuzitambua kazi za mikono yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana vinubi na zeze kwenye karamu zao, matari, filimbi na mvinyo, lakini hawayajali matendo ya BWANA, wala hawana heshima kwa ajili ya kazi ya mikono yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana vinubi na zeze kwenye karamu zao, matari, filimbi na mvinyo, lakini hawayajali matendo ya bwana, wala hawana heshima kwa ajili ya kazi ya mikono yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kinubi, na zeze, na matari, na filimbi, na mvinyo, zote ziko katika karamu zao; lakini hawaiangalii kazi ya BWANA wala kuyafikiri matendo ya mikono yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika karamu zao, hapakosekani vinubi, zeze, matari, filimbi na divai. Lakini hawajali matendo ya Mwenyezi-Mungu, wala kuzitambua kazi za mikono yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo wanyweapo yako mazeze na mapango, hata matoazi na mazomari, lakini kazi za Bwana hawazitazami, wala matendo ya mikono yake hawayaoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kinubi, na zeze, na matari, na filimbi, na mvinyo, zote ziko katika karamu zao; lakini hawaiangalii kazi ya BWANA wala kuyafikiri matendo ya mikono yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika karamu zao, hapakosekani vinubi, zeze, ngoma, filimbi na divai. Lakini hawajali matendo ya Yawe, wala kutambua kazi za mikono yake.