Isaiah 5:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mtu atafedheheshwa, na wenye kiburi wote wataaibishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo mwanadamu atashushwa, na binadamu kunyenyekezwa, macho ya wenye majivuno yatanyenyekezwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtu mnyonge ainamishwa, na mtu mkubwa amedhilika, na macho yao walioinuka hunyenyekezwa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mtu atafedheheshwa, na wenye kiburi wote wataaibishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo mwanadamu atashushwa na binadamu atanyenyekezwa, macho ya wenye majivuno yatanyenyekezwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo mwanadamu atashushwa, na binadamu kunyenyekezwa, macho ya wenye majivuno yatanyenyekezwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtu mnyonge ainamishwa, na mtu mkubwa amedhilika, na macho yao walioinuka hunyenyekezwa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mtu atafedheheshwa, na wenye kiburi wote wataaibishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo watu watainamishwa, nao waume watanyenyekezwa, hayo macho yenye majivuno yatanyenyekezwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtu mnyonge ainamishwa, na mtu mkubwa amedhilika, na macho yao walioinuka hunyenyekezwa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mutu atafezeheshwa, na wenye kiburi wote watapatishwa haya.